Hongera Diamond Platnumz na Zari for your newborn son,Mashabiki kuchagua jina la mtoto wao

Jana tarehe 6 Diamond na Zari walipata blessings nyingine baada ya Zari kujifungua mtoto wa kiume ambaye mpaka sasa jina halija amuliwa liwe lipi.
Diamond alionyesha furaha yake instagram na akiomba mashabiki zake wachague jina la mtoto akatoa na list hii hapa
 • diamondplatnumzHelp me to Pick One for my Baby Boy Please.....
  RAMIA....NILLAN... LANIER.... AKRAM
  RAHUL...RIAZ..... DYLAN...?

 • Watu wengi wameshangazwa na Zari kuendelea na shughuli zake kama kawaida tofauti na wengi ambao wakijifungua hupumzika,tena na familia zetu za ki Africa una kaa ndani miezi ukifanyiwa kila kitu,ila sio wote wengine wanapiga mzigo kama kawaida 

 • Na huyu ni mtoto wa Zari wa 5 so sio kitu kipya wala nini na hajachoka ,mumu wache angekuwa hana nguvu angelala
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

  Blogger Comment
  Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment