Mahaba ya mpenzi wangu yamenisukuma kuandika wimbo Sijiwezi – Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amedai hawezi kuandika wimbo wa mapenzi kama hana filling ya mapenzi au hayupo kwenye mahusiano.
 Nay amedai wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ameuandika kutokana na kupewa mahaba mazito kutoka kwa mpenzi wake.

“Mimi siwezi kuandika wimbo wa mapenzi bila kupata filling ya mpenzi kutoka kwa mpenzi wangu au watu wangu wa karibu ndio maana hata unaona na nyimbo chache sana za mapenzi,” alisema Nay. “Hata Sijiwezi umetokana na maisha yangu ya ndani na mpenzi wangu. Nikaona hapa kuna sababu ya kuandika kitu na kweli nimefanya na namshukuru Mungu ngoma inaenda,”
Rapa huyo anawashukuru mashabiki wa muziki wake kwa kuupokea vizuri wimbo huo katika kipindi cha muda mfupi.
credit:bongo5
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.