Nuhu Mziwanda na Mkewe Wanatarajia Kupata mtoto

nuh mziwanda na mkewe ambaye walifunga ndoa siku 21 zilizopita tayari Mungu amewabariki sana sababu wanatarajia kupata mtoto .

Nuhu alipost picha instagram akiwa na mkewe ameshika tumbo lake japo caption haionyeshi moja kwa moja anachotaka kusema ila picha inasema mengi.
hii ikiwa caption ya picha hii

Ukielewa maisha ni nini na unapaswa uweje ili uheshimike raha sana 'Nawapenda sana Mashabiki wangu ❤️

Tuwatakie kheri kwenye baraka hii walopewa na M/mungu insha allah

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment