Ommy Dimpoz Amemshauri Ali Kiba Amuoe Jokate Mwegelo Asilete Janja JanjaHamna sehemu yoyote ambayo Ali Kiba na Jokate Mwegelo wameshawahi kukubali kuwa wana mahusiano,wamejitahidi kweli kuweka mambo yao private.

Kwenye Birthday ya Ali Kiba Ommy Dimpoz alimtakia heri ya kuzaliwa mshkaji wake Ali Kiba ila kama wishes zilikuja na ka ushauri au ka ujumbe flani amazing.
Akitaka mwaka huu amuoe Jokate

Heri ya Kuzaliwa Mzee Tembo King K @officialalikiba Allaah Akuujalie Afya na Uzima pia Azidi kukufungulia milango ya Heri Ang’oe kabisa ile KoKi ya Baraka yaani Mineema izidi kumwagika Njia iwe Nyeupeeeee ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ pia mwaka huu umuoe yule binti acha kuleta janja janja ukamkimbia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,” aliandika Ommy.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment