Picha Mpya za Diamond Platnumz zitakufanya Uamke kwenda Gym na Kukichukia Kitambi

 
Diamond Platnumz mbali na kuwa staa ana hakikisha anapata muda wa kwenda Gym na kufanya mazoezi ,am sure ukiimba unatakiwa uwe na pumzi sana.
Juzi kati tu alituwekea picha kavaa kijiboxa sasa hivi naona ameamua kutuonyesha na six packs zake 
Wadada wa mujini wanasema Lord have Mercy!!!!
mwendo wa shirtless ,just with pants and a blazer 

hii hair style mpya sio ya dunia hii

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment