Raisi Magufuli ndiye Person of the Year kwa Mujibu wa Jarida la New African

Sio siri wala kitu cha kupinga kuwa Raisi Magufuli tangu aingie kwenye uongozi amekuwa aki kick sana kwa utendaji kazi wake ambao haujaonekana tu kwa wa Tanzania bali hata duniani kote viongozi na watu wengi wakimsifia.

Jarida la New African wao wakampa heshima na kumtaja kama Person of the Year 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment