Ray C looks Simply Amazing on new Photos

Ray nafikiri anakaribia kuachia ngoma au Album,with these new pictures may be za kupromote nyimbo,and on her insta page ameweka Ni wewe loading.... 
so may be ni nyimbo atachia soon

 We cant wait kusikia ngoma yako Ray C tumekumiss 
Ila in the mean time tu enjoy her new pictures 

Ray C anapendaga sana mahadhi ya kihindi naona hata theme ya shoot hii ilikuwa mambo ya wadosi Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment