Rebeca ame hit another milestone na this is major ,baada ya kushinda tuzo ya Social change Awards toka Global Goals Awards UNICEF na hii ni sababu ya kushinda ile kesi yake dhidi ya serikali kwenye issue ya ndoa za utotoni.
Na kwenye kumalizia mwaka jarida ya The New African limemtaja Rebeca kama mmoja wa wanawake wa Mwaka kwenye category yao ya Civil Society and activism
kusoma zaidi Ingia HAPA
0 comments/maoni:
Post a Comment