Tunda Akataa Kufananishwa na waliokuwa wapenzi wa Young Dareselama ,Awapa Jina la Vitu vya Ajabu

Tangu Yound D aingie kwenye sakata la kuwa na mtoto na Mamisa,na tuhuma kuwa alimkataa mtoto ,then kuja kukubali na kutangaza basi headlines kibao zimekuwa ni kuhusu wao.

Hadi Amber Lulu ambaye nae alikuwa mpenzi wa rapper huyo kuonekana kambeba mtoto wa young,D na Mamisa huku akisema atamlea maana nae ni mama yake mtoto.

Kwenye instagram kulikuwa na picha za warembo hawa watatu ambao wote walikuwa wapenzi wa Young Daresalama 

Tunda hakufurahishwa na kufananishwa na warembo hawa na kupost picha hii ikiwa na caption hii 

Unajua kuna wakati mwingine ifike wakati kujuana humu insta isiwe tabu!..naona imefikia hatua ya kufananishana na vitu vya ajabu sasa jambo ambalo halimpendezi hata Mungu hivo naomba kutoa onyo sitaki kushindanishwa n vitu vya ajabu halafu kwa mambo ya kijinga yasionihusu!..Msinilazimishe kumkosea Mungu


Amber alim promise Mtoto huyo kumlea kwenye post yake instagram

Tammy wetu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Nakulea mwenywe mom nakupromise ntakuwa mom mdogo bora kabsaa watashangaa
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment