Tunda Asema yeye na mpenzi wake Young Daresalama watabaki Milele ,Muwaache!!!!!!


Young Daresalama na Tunda wamerudiana sasa hivi baada yakuwa apart for sometime ,na mashabiki wengine wakifurahia wengine wakiwa hawajafurahia ,but mwisho wa siku ndo washarudiana.
Na sasa hivi Young D ana nyimbo yake mpya ya Furaha ambayo anasema ameitoa  ikiwa ni dedication kwa rafiki yake Dogo janja ambaye amefiwa na baba yake.
Back to Tunda kwenye video ya Young D of course video Queen ni Tunda but tunda katoa povu wale wote ambao wanamsema vibaya yeye na bae wake young D.
Aliandika kwenye instagram yake hivi 

Kwangu kashadata vitu anavopata kwangu hakianani hawezi niacha🙈 Hayawahusu Pigeni kelele mtabaki wenyewe mwisho wa siku mimi na yeye tutabaki milele

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment