Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha Afunguka

Siku za karibuni staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha bebee alionekana kuwa ni mjamzito kwa madai kuwa alipata mimba hiyo mara baada ya kubakwa, leo amekubali kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alifanya vile kwa sababu alizozitaja hapa kwenye hii video…
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment