Vanessa Mdee kubadili dini sababu ya Jux?

Iko wazi, kwamba wapenzi wengi wa dini tofauti, huamua kuchagua njia moja iwapo lengo lao ni kuja kufunga ndoa na kuwa mke na mume, kihalali.

Vipi kwa upande wa Vanessa Mdee ambaye ni mkrito, na Juma Jux ambaye ni muislamu, mustakabali wao ni upi iwapo wanakoelekea ndio huko ambako ndugu na jamaa zao wanapenda wafike yaani ndoani?
Nani yuko radhi kubadili dini yake? Swali hilo lilitupiwa kwa Vanessa Mdee na watangazaji wa kipindi cha The Base cha ITV.
“No, sina mipango yoyote ya kubadilisha dini,” jibu la Vee Money lilikuwa fupi kama hivyo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment