WCB walivyozikonga nyoyo za Mashabiki wao huko Iringa

Baada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment