You Can't be Us,Khloe,Kim na Khloe Wambania Blac Chyna kutumia their Family name

Dada wa the Kardashian Kim,Khloe na Kourtney wamembania wifi yao Blac Chyna ambaye anataka kutumia jina lao la KARDASHIAN
So kabla ya Chyna kujifungua mtoto wake na Rob waliompa jina la Dream ali file kutaka kubadili jina lake na kuwa Angela Renee Kardashian


But dada hawa wa Rob wamekataa ,according to TMZ wadada wamesema miaka kibao wamekuwa wakilitumia jina hilo kwenye biashara zao,so hiyo kwao ni brand na kama chyna anataka kutumia wao watapata damage,wanajulikana dunia nzima so hawawezi kukubali chyna afaidike na jina hilo
Chyna ana mpango wa kuanzisha biashara kadhaa chini ya jina hilo ikiwemo entertainment services, make television and movie appearances, live as a "social media celebrity," as well as party host

Hii itakuwa nzuri kwa Chyna maana ataboost sana biashara zake.Ila Kardashian sister ombeni Chyna asiolewe na Rob sababu atakuwa Legally na rights za kutumia jina hilo so take several seats na Chyna nae yuko ki biashara zaidi hana mambo ya sport sport 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment