Zari na Diamond Platnumz wamechagua Jina la mtoto wao wa kiumeBaada ya Diamond kuomba fans wake waweza kumsaidia kuchagua jina la mtoto wao wa kiume ambaye leo  ana siku ya 8 tangu azaliwe.
Miongoni mwa majina ambayo aliyatoa ni  Help me to Pick One for my Baby Boy Please.....

RAMIA....NILLAN... LANIER.... AKRAM
RAHUL...RIAZ..... DYLAN...?

Mwisho wa siku wameamua kuchukua jina la NILLAN ,me nacheka tu watu walianzisha hadi page ya prince Riaz sijui why walijichukulia jina hilo wakati wenyewe hawajatoa tamko jina gani wanatumia,acheni viherehere sasa kiko wapiiii .
Mtoto ana four hours tangu afunguliwe account tayari ana followers 46.4 K 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.