Ben Pol ageuka ‘mbogo’ kwa kutaka kumnyang’anya kipaza sauti mtangazaji, kisa issue yake na mtoto wake.

Kama unataka kukosana na Ben Pol muulize ishu za msichana aliyezaa naye au mtoto wake. kwani Jumatatu hii aligeuka mbogo ndani ya kipindi cha Enewz cha EATV baada ya kuulizwa ishu ya familia yake.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment