Daddy's Little Girl ::Kitendo cha Ridhiwani Kikwete kuonekana akimfumua nywele bintiye chawavutia wengi

Kitendo cha Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kuonekana katika picha akimfumua nywele bintie kimewavutia mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii.


Ridhiwani akiwa na bintiye
Mwanasiasa huyo kijana ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameonyesha kuwa karibu zaidi ya familia yake kitendo ambacho kimewavutia vijana wengi kupitia mitandao ya kijamii.
Jumatatu hii mbunge huyo alipost picha akimfumua nywele bintiye na kuandika “home attending Fatherhood duty while watching H.E Donald Trump taking Oath of the Office”.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment