Diamond na Zari Kwa cover la jarida la Mamas and Papas la South Africa

Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini.Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu. Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.
siku walikuwa waki shoot

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment