Gigy Money avishwa pete ya uchumba na Mo J au Kick tu ???

Wingu la mahaba mazito kati ya video queen Gigy Money na mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Choice Fm Mo J limeendelea kutanda kwani wawili hao kwa sasa wako karibu zaidi.

Mo J anadaiwa kumvalisha pete mrembo huyo baada ya hivi karibuni kupost picha (hapo juu) na kuandika ujumbe huu.

Valentine’s ileeeeee..!! mwezi wa ma lovey dovey❤ sasa mimi mapemaaa nimempa Bonge la zawadi mama Candy @gigy_money lakini nisingeweza kufanikisha lengo langu bila @malaikadesigner @malaikadesigner kwa kutushonea nguo nzuri kama unavyoziona mimi na mama Candy @gigy_money ..! sasa mchek @malaikadesigner @malaikadesigner kwa mahitaji ya nguo nzuri za kushona za kike na zakiume……,Unajua nini @malaikadesigner umefanya mama Candy anipende zaidi na azidi kuniamini kwa zawadi ya nguo nzuri niliyompa #loveisallweneedinthisworld๐Ÿ™๐Ÿป❤️❤️❤️

 Kwa upange wa Gigy Money alipost picha na kuandika “chanda chema huvishwa pete” kauli ambayo imemfanya mrembo huko kupongezwa na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii. Angalia picha za wawili hao.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment