Hongera Ray Kigosi na Chuchu Hans kwa kupata mtoto wa kiume


Mpenzi wa msanii mkongwe wa filamu Ray Kigosi, Chuchu Hans amejifungua mtoto wa kiume wiki hii, Ray amethibitisha.


Ray alionyesha furaha yake kwa ku post picha ya miguu ya mwanae na kuandika maneno haya 

ASANTE MUNGU KWA KUNILETEA PACHA WANGU ASANTE MY LOVELY MZUNGU KWA KUNIPA HESHIMA KUBWA KUNIFANYA NIITWE BABA, MUNGU WANGU WA HAKI ASIYESHINDWA NA JAMBO AKUBARIKI SANA ...... SASA MSIANZE MANENO YENU KWAMBA MWANANGU AMEKUNNYWA MAJI MTOTO BADO NI MCHANGA MAANA WATU WA INSTA KIBOKO LAKINI HAWAISHI MTONI. 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment