Kunani Wolper na Harmonize,Wolper Am dump Harmonize Via Instagram but akafuta post hiyo

Wolper amewashangaza wengi na kutokujua nini kilitokea baada ya kuweka picha instagram ya Harmonize na maneno ya kuonyesha kwamba wapenzi hao wamefikia mwisho wa mahaba mazito walokuwa nayo.
Ila Jacquel alifuta post hii muda mfupi ila wengi walisha inyaka 
Trouble in paradise??? 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment