Meneja wa Young Dee asema kwa masikitiko kwamba Young Dee amerudia tena kubwia Unga

Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.
Max anadai amejaribu kila awezalo, lakini sasa ameamua kunawa mikono. Amezitoa taarifa hizo Instagram alipokuwa akichat na msichana aitwaye Wendy Elia
Kwenye post yake ya Instagram, Max aliandika ujumbe toka kwenye biblia: Walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung`uta mavazi yake mbele yao akisema, “Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa mengine.” Matendo Ya Mitume 18:6 NENO LA BWANA LIMENENA. KILA MWENYE SIKIO NA ASIKIE….


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.