New Music: AY f/ Nyashinski – More n’ More

Hatimaye AY ameufungua mwaka 2017 kwa kazi mpya na ya kwanza iitwayo More and More ambamo amemshirikisha staa wa Kenya, Nyashinski. Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa Drey Beatz na Hermy B.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment