Rais Magufuli alivyohutubia kwa Kiswahili mbele ya Mugabe, Zuma na wengine Ethiopia

Rais Magufuli alikuwa  kwenye jiji la Addis Ababa Ethiopita kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi za umoja wa Afrika ambapo kwenye uwepo wake huo, amepewa heshima ya kutangaza rasmi kuanza kufanya kazi kwa jengo lililopewa jina la JULIUS NYERERE ambalo limejengwa Addis Ababa.

Baada ya kupewa nafasi hiyo JPM alitumia lugha ya Kiswahili kuzungumza mbele ya Wageni mbalimbali pamoja na Marais mashuhuri wa Afrika kama Robert Mugabe, Paul Kagame, Uhuru Kenyatta, Jacob Zuma na wengine.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment