Zari ndani ya kivazi cha Khanga akiwa ka match na binti yake Princess Tiffah

wanasema ukiwa na mttoo wa kike ni rahisi sana kuvaa nae nguo za sare sare,Zari nae hakua nyuma akiwa na binti yake pekee hadi sasa Tiffah Dangote wakiwa wametinga vigauni vya khanga

 Zari akiwa kavaa a highlow dress with ankle strap sandals 
Tiffah alikuwa spotted kapendeza na vazi la khanga and we love her 

mama na mwana ,Raha sana.
nguo zao ni toka kwa kattycollection wacheki instagram
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment