Hii ndio jumla ya nyumba anazomiliki Nay wa Mitego na thamani yake

Baada ya kufanya vizuri na hit songs kadhaa zilizompelekea kufanya shows nyingi hatimaye mkali huyo wa kujiamini katika game ya Bongo Flava Elibariki Munisi maarufu kama Nay wa Mitego ameyaweka wazi mafanikio yake aliyoyapata kupitia muziki wake.
Nay aliyasema hayo hivi karibuni nilipozungumza naye kwa kunifungukia idadi ya nyumba tatu anazomiliki zenye jumla ya thamani zaidi ya milioni 400 na magari matatu ya kutembelea yenye jumla ya thamani ya milioni 110.
Aidha Nay alimalizia kwa kusema kuwa umiliki wake wa mali hizo kushawahi kumletea matatizo mara kadhaa mpaka kumpelekea kutoa nafasi kwa mwenye wasiwasi na mali zake basi amfate amuulize.
Zaidi msikilize Nay hapo juu akiongea
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment