Jipya kutoka kwa Kamishna wa kupambana na dawa za kulevya kuhusu waliokamatwa

Sakata la dawa za kulevya bado lipo kwenye vichwa vya habari ambapo juzi Mkuu wa mkoa Paul Makonda alikabidhi majina 97 ya watu waliotajwa kwenye tuhuma za biashara hiyo. Kamishna wa Idara ya kupambana na dawa za kulevya Mihayo Msikhela amesema wamewakamata watu wawili na bado wengine wanaendelea kutafutwa ambapo Waandishi walipotaka wawili hao watajwe majina, amesema kuwataja haitakua sahihi.
FULL VIDEO itazame hapa chini akiongea.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment