Kamanda Sirro ataja changamoto moja wapo katika kazi yake ni wadada wa mjini kumshawishi wamweke kwenye himaya zao

Miongoni mwa watu wanaogopwa zaidi Dar es Salaam, ni kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum ya mkoa huo, Simon Sirro.

Pamoja na hivyo, wapo watu ambao hawatishiki kwa lolote na hutamani kuwa naye karibu zaidi ya kawaida. Watu hao ni akinadada wa mjini ambao humpigia simu usiku wa manane na maneno matamu wakitaka kumnasa.
“Changamoto hii ya kupigiwa simu usiku ni ya kawaida, sababu mtu anaweza kukupigia tu simu usiku, hawa akinadada unajua tena mjini. Wakiona mzee wanajua niko vizuri, ‘mzee tulikuona umevaa kofia vizuri’ kwahiyo ni ya kawaida ambayo tumeyazoea, mjini kuna namna nyingi ya kuishi,” Kamanda Sirro alikiambia kipindi cha East Africa Breakfast.
Mtazame zaidi hapo akizitaja changamoto zingine.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment