Maamuzi yaliyotolewa kwa Watuhumiwa wa dawa za kulevya waliofikishwa Mahakamani Jana

Jana  February 7 2017 baadhi ya Watuhumiwa wa ishu za dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Kisutu Dar es salaam kujibu tuhuma zinazowakabili. 
Mahakama hiyo imekubali maombi ya Jamhuri kuhusu tuhuma zinazomkabili Petitman na wenzake wanne kwamba watakuwa nje kwa dhamana ya shilingi milioni 20 na watatakiwa kuripoti kituo cha polisi mara mbili kwa mwezi kwa muda wa miaka mitatu na kila mmoja anatakiwa kuwa na mdhamini mmoja mwaminifu.
Aidha kwa TIDTundaRechoRommy JonesBabu wa Kitaa na Nyandu Tozi  watakuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja na dhamana ya Tsh milioni 10, wakivunja masharti watarudi Mahakamani

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment