Majibu ya Lulu baada ya kufananishwa kwenye video ya mapenzi inayosambaa

U Heard ya XXL ya Clouds FM imemuhusu mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama ‘Lulu’ ambapo kwenye mitandao kuna video ya mapenzi inayosambaa ikidaiwa kwamba Mwanamke anayeonekana ndani yake ni Lulu.

Majibu ya Lulu ni haya >>>  ‘haijanishtua kwa sababu watu ndio wanaona lakini mimi sioni hata ishara moja ya kufanana nae, watu wangu wa karibu wengi wanaonijua wanaweza wakaona hilo, watu wa karibu wangenikomalia kwamba ni mimi ningeumia kichwa’
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment