Makonda alipiga teke swali la vyeti ‘maswali ya mtandaoni yanaishia huko’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kuzungumzia suala la kughushi vyeti kwasababu majibu yake yapo mtandaoni suala hilo lilipoanzia

Makonda amesema hayo Ijumaa alipoulizwa swali na mwanahabari wa Bongo5 (Yasin Ngi’tu) kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.
“Maswali ya mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo).Ukiona maneno mengi yanaibuka kwenye madawa ya kulevya ndiyo ujue vita imefika penyewe,” alisema.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment