Ridhiwani Kikwete ajibu kuhusu kuchunguzwa kwake sakata la dawa za kulevya

Sakata la dawa za kulevya bado limeendelea kushika kasi Tanzania Serikali ikiendelea kuwachunguza baadhi ya Watuhumiwa wa matumizi na Wafanyabiashara.

Moja ya habari kubwa kupitia Magazeti na vyombo vya habari leo ni taarifa za kuhusishwa kwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete, tuhuma hizo zimemfikia hata yeye mwenyewe na akaamua kuchukua time yake kuzijibu kupitia ukurasa wake wa Instagram
Ridhiwan ameandika>>>’Ni jambo jema na la faraja kubwa kwangu kama uchunguzi unafanywa, ni ukombozi kwangu, ukweli utajulikana kuwa ni uvumi tu usiokuwa na chembe ya ukweli”
“Ni maneno ya watu wasionitakia mema, sina la kuficha… sifanyi biashara hiyo haramu na wala sijawahi kufikiria kufanya…… ni bora kufa maskini kuliko kutafuta utajiri kwa njia hiyo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment