Sababu zilomfanya Wema Sepetu kufuta picha zote Instagram

 Wema Sepetu akielezea kwanini alifuta picha zote Instagram na headlines za habari za mastaa zikasema ni sababu ya matusi kumuandama.

Wema ambaye alifanyiwa mahojiano na  AyoTV kwamba ukurasa wake wa mtandao huo wa kijamii ulikua umechafuka sana yani hakukua na kiwango kwenye page yangu, mtu angetoka nje ya nchi alafu atake kuona Wema anafafanaje asingejua, unaweza kumtazama Wema akiongea kwenye hii video hapa chini

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.