Sony Music wampa tuzo Alikiba kwa views milioni 5 za video ya Aje

Label ya Sony Music Africa, imemtunuku tuzo Alikiba baada ya video ya wimbo wake Aje kufikisha views milioni 5 kwenye mtandao wa Youtube.

Amepewa tuzo hiyo Ijumaa hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye makao makuu ya Sony Music Africa“What an incredible start to 2017! One month in and we’ve had the honour of presenting @officialalikiba an award for 5 million views of #AJE! ๐Ÿ‘๐Ÿพ it was awesome having you with us today ๐Ÿ™๐Ÿพ #KingKiba fans, #AJERemix is out today! Go watch the official music video on the AlikibaVEVO @youtube channel,” wameandika Sony kwenye Instagram.
Alikiba anajipanga kuanza ziara yake ya kwanza nchini humo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment