Wema Sepetu aachia app yake mpya ‘mtumia unga anajua kutumia na fursa’Malkia wa filamu nchini Wema Sepetu ameiachia app yake mpya ambayo itakuwa inatoa taarifa zake mbalimbali kuhusu shughuli anazozifanya.
Muigizaji huyo ambaye jana jina lake lilitajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye list ya wasanii ambao wanatuhumiwa kutumia Madawa ya kulevya, ametoa taarifa ya ujio wa app hiyo ambayo ndani yake zitakuwa zinatikana filamu zake pamoja na vipindi vyake vya runinga.
Taarifa ya Wema Sepetu
“And There You have it Ladies & Gentlemen…..My very own Application just so u could have me closer than you think…. Download now on Playstore and dont forget to subscribe…. Everything Wema…. Oh Yes na kile kipindi chenu mkipendacho mtakikuta huko huko….. But now u can download it quick and get to hear what I have to say about hizi habari za leo… That is my Breaking News kwa app TODAY!! Yall dont think ningekaa kimya tu ryt…🤔🤔 Well I got something to say… Na kuiskia, Ingia Playstore na Udownload WemaSepetu, Subscribe alafu pata kuskia na kujionea meeeengiii… Ukimya Mwingi Rahaaa..🤗🤗🤗.. Endiwooo Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa…😅😅😅 (Kidding) So that special thing y’all have been waiting for is Finally here…. Enjoy it…. #WSSoCloseToYou #WSyourAddiction …. NB… This is Only for Android Users for the Time Being, wale wapenda Iphone kama mimi Its Coming Soon….. Dont forget one Thing, Nawapenda Sana…!😘…. Na hii sio Tanzania tu jamani…. Ni Worldwide aslong as una Playstore…. Yaani inshort na sisi tuna application Yetu kama vile Instagram na Games or whatever…. Oh Lord…!🙏🏼🙏🏼🙏🏼…. Im Thankful, Grateful…. I feel blessed wallahy…!!!🙏🏼
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment