Wolper afunguka kuhusu video yake inayosambaa mitandaoni ya 40 ya Nillan



Mwigizaji wa Tanzania Jackline Wolper anahusika ambapo Soudy Brown amemuuliza kuhusu lile povu la kwenye siku ya 40 ya mtoto wa Diamond na Zari aitwae Nillan.
Kulikuwa na vyakula vingi lakini nilikula Kuku, kawaida siunajua usiku ulikuwa ushaingia alafu mimi huwaga kidogo nikiwa mweupe nakuwa mdogo kwaiyo ni akili za usiku pia zilikuwepo
“Unaongelea ile video niliyotolea povu? actually unajua mimi siyo muongeaji lakini huwaga ni mkweli naweza kutumia lugha hiyo”


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment