Alikiba apata mapokezi ya nguvu JK Nyerere Airport, atua na tuzo ya MTV EMA

Mashabiki wa muimbaji Alikiba wamejitokeza kwa wingi JK Nyerere Airport kumpokea mkali huyo wa Aje akitokea Afrika Kusini huku akiwa na tuzo yake na MTV EMA – Best African Act.

Alikiba akiwa na tuzo yake
Akiwa Afrika Kusini alifanya media tour pamoja na show katika kumbi mbalimbali nchini huyo.
Muimbaji huyo aliiwambia waandishi wa habari kuwa tour yake hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa katika muziki wake.Angalia picha na video za tukio hilo.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment