Askofu Gwajima alivyotua Clouds Media Group akiwa na ulinzi mkali na magari ya kifahari

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima alitua kama mfalme katika ofisi za Clouds Media GRoup kwa ajili ya kutoa pole kama alivyoahidi.


Kiongozi huyo wa amefika katika ofisi hizo saa 4:00 asubuhi akiwa na msafara wa magari zaidi ya manne naye alikua katika gari aina ya Hammer.
Amepokelewa na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa clouds Ruge Mutahaba.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment