Faiza Ally azungumzia ujauzito wake pamoja na sababu ya kuwekwa rumande siku moja

Msanii wa filamu Faiza Ally amedai hivi karibuni alilala rumande siku moja na kesho yake nchana kuachiwa baada ya kudaiwa kufanya fujo.


Kwa kujibu wa video yake ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii, muigizaji huyo alikamatwa akiwa hospitali ambayo alikuwa amekwenda kucheki maendeleo ya mimba yake.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment