Hiki ndicho Alikiba, Barakah The Prince na Lady Jaydee hukifanya wakati wa kuachia nyimbo mpya

Uongozi wa label ya muziki ya Rockstar4000, huwa na mikakati tofauti wakati wa kuachia nyimbo za wasanii wake.


Seven Mosha, msimamizi wa Rockstar4000, ameiambia Bongo5 kuwa, wakati wasanii wa label hiyo wakiwa wanaachia nyimbo mpya, hukaa pembeni ya mitandao ya kijamii kwa muda.
“Wakati mwingine, all of my artists, wakati we are ready to launch labda an album or single, we are off social media,” amesema Seven.
“Mpaka itoke three days later ndio tunaanza kuinteract, because social media can sway your decisions,” aliongeza.
Rockstar4000 inawasimamia Alikiba, Barakah The Prince na Lady Jaydee.
March 31 mwaka huu, Jaydee ataachia album yake ya saba, Woman
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment