“Mimi binafsi naweza kumhudumia Wema Sepetu kwenye mapenzi”- Harmo Rapa

Ni March 28, 2017 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Harmo Rapa kwenye studio za millardayo.com alifunguka na kueleza hisia zake za kimapenzi kwa mastaa watano kutoka Tanzania.

Miongoni mwa mastaa aliowataja ni pamoja na staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu na kuyaongea haya >>>Wema Sepetu ni mmoja kati ya wanawake wanao nivutia sana hasa lile umbo lake matata na kummudu pia sishindwi ninaweza kumhudumia kwa kila kitu hata kumnunulia nyumba na gari.” – Harmo Rapa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment