Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Sophia Simba na wengine wafukuzwa uanachama, Nchimbi apewa onyo kali

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Sophia Simba afukuzwa uanachama kwa kosa la usaliti huku Adam Kimbisa na Dk Emmanuel Nchimbi wakipewa onyo kali.

Sophia Simba

Habari zinazidi kueleza kuwa chanzo cha Simba kuvuliwa uanachama na wenzake kupewa onyo, ni madai ya kukisaliti chama, hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Wengine waliofukuzwa uanachama ni Ramadhan Madabida, Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga. Habari zaidi zitaendelea kukujia kupitia hapahapa.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment