Nape Nnauye atumbuliwa, nafasi yake yachukuliwa na Dk. Mwakyembe

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mheshimiwa Nape Nnauye kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Badala yake amemtua Dkt Harrison Mwakyembe kushika nafasi hiyo. Chini ni taarifa ya uteuzi huo mpya


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment