Njia 3 za kuigundua noti bandia za elfu 5 na 10 za Tanzania

Kumekuwa na matukio mbalimbali yakihusisha upatikanaji wa pesa bandia, hii imekuwa ngumu hata kwa baadhi ya watu kuweza kutofautisha pesa bandia na halali.
Leo tunaye Afisa mwandamizi mkuu wa Benki kuu ya Tanzania Patrick Fata ambaye ametusogezea njia kuu tatu za kukuwezesha kutambua noti bandia endapo utakutana nazo ikiwa ni pamoja na kuona,kupapasa na njia ya tatu ni kutumia taa maalumu za rangi.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment