Povu Hili la Jokate Linamhusu Ali Kiba??? au nani????

Kuna minong'ono mingi kwamba Jokate na Ali Kiba may be wanaweza kuwa hawako poa,japo hamna alosema chochote,wengine wakihisi kuwa kwa kua hawajawaona pamoja kwa muda but wanaweza kuwa kila mtu yupo busy kufanya projects zake hatujua.
but jana Jojo aliweka insta maneno makali watu wakisema jiwe limerushwa gizani na wengine wakihisi ni kijembe kamtupia Ali Kiba 
Aliandika hivi

Unapotumia sio nguvu bali akili nyingi kumtengeneza mtu na akafikia mafanikio fulani hivi halafu ki-mtu kingine kikajiweka mbele na kutaka credit zote πŸ˜³πŸ™„πŸ™ˆ, una smile kama hivi 😊ukiacha waendelee huku ukitafakari maneno kwenye vitabu vitakatifu wa kwanza atakuwa wa mwisho na mwisho atakuwa wa kwanza. Maisha ni mzunguko. Mungu yu mwema sana. 😘❤πŸ™πŸ½


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment