Profesa Jay: Siwezi tena kuimba Singeli

Rapper mkongwe Profesa Jay amefunguka kuwa hatoimba tena muziAkiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatano hii, Jay amesema, “Mimi napenda kusapoti vipaji vilivyopo mitaani, hata leo ukinipa jezi nicheze mpira ili kuhamasisha watu waupende mpira nitacheza lakini siyo sehemu yangu.”


“Kuhusu Singeli mimi siwezi tena kuimba nilivyoimba ule wimbo nilitaka kuonesha jamii kuwa kuna muziki huu pia upeni ushirikiano. Sasa wasanii wenye wimbo huo ndiyo wenye jukumu la kuhakikisha unakua lakini mwaka huu wameonekana kupooza wanatakiwa wapambane,” ameongeza.
Kwa sasa rapper huyo ameachia wimbo wake mpya ‘Kibabe’ ambao umeanza kufanya vizuri japo una siku moja tangu alipouachia.ki wa Singeli.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment