TRA yakanusha kuidai Clouds Media Group malimbikizo ya kodi ya Tsh milioni 700

Baada ya kusambaa kwa ujumbe kupitia mitandao ya kijamii unaodai kwamba kampuni ya Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na kupoke notisi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Milioni 700, Jumatano hii TRA wamekanusha uvumi huo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TRA Jumatano hii imedai haijatoa taarifa yoyote kwamba Clouds wanadaiwa deni hilo huku wakiwataadharisha wananchi kuwa makini na taarifa za uongo ambazo zinazalishwa na mitandao ya kijamii.
Taarifa kamili…

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment