Vanessa Mdee: Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii

Vanessa Mdee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke rumande Jumatatu hii baada ya kushikililiwa na polisi jijini Dar es Salaam kuanza Jumatano ya wiki iliyopita.


Muimbaji huyo wa Cash Madame amewashukuru wote waliompa pole wakati alipokuwa ameshikiliwa na kudai kuwa ataachia wimbo mpya wiki hii.
“I love you all sooo much ๐Ÿ˜š,” ameandika kwenye Twitter.
“It is by his Grace alone ๐Ÿ’œ Utukufu kwa Mungu wetu wa miujiza.
Thankyou for your kind tweets and posts. I got a glimpse of some of them and this kinda loooooove ๐Ÿ˜,” ameongeza.

“AND incase you were wondering. I am doing so fine. Infact new music out THIS WEEK ๐Ÿ˜™.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment