VIDEO: CHADEMA wazungumza walivyojiandaa na bunge la mwezi ujao

Mwezi April Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania litaanza kwa vikao vya Bajeti ya mwaka fedha 2017/2018 ambapo wabunge watapitisha bajeti kuu ya serikali.

Leo March 24 2017 CHADEMA kupitia Naibu Katibu mkuu wake ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika amezungumza na waandishi wa habari kuhusu walivyojiandaa kwenye bunge hilo la mwezi ujao
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment