Wazo la wimbo ‘Niambie’ nilitaka Wolper aniambie kwanini ananipenda – Harmonize


Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai idea ya wimbo wake mpya ‘Niambie’ ilitokana na aliyekuwa mpenzi wake, Jacqueline Wolper.


Muimbaji huyo amedai alishindwa kujua ni kwanini malkia huyo wa filamu alimpenda na kuwatosa wenye pesa zao ambao walikuwa wanamnyapia nyapia.
“Watu wamekuwa wakisema hatuendani mimi na Wolper huenda kwa sababu yeye alianza kuwa staa kabla yangu wakati huo nikiwa kijijini au hatuendani kwa kuwa yeye anapesa nyingi pengine kuliko mimi!,” Harmonize aliiambia Global TV Online.
Aliongeza, “Licha ya hayo yote lakini alikuwa ananionesha ananikubali, kunifanya niwe mwanaume hata kunitangaza kwenye jamiii. So sometime nikiwa nazi-appreciate zile treatment anazonipa kwa sababu wengi wenye pesa walikuwa wanamtaka. So nikapata idea ningependa siku moja uniambie kitu ambacho kinakufanya mimi unipende wakati mimi sina chochote,”
Wimbo huo mpya wa muimbaji huyo unapatikana kwenye 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment